mzazi niaje mbona naona umeingi katika zorpia then hakuna hata ure snap face babu utakuwa hupati wachumba mzee lazima wakusaminishe kwanza ndo wakuselect sasa mbona wewe huna hata picha humu mzazi alafu ulionaje kuwa mnyamwezi nimo humu sababu ilikuwa very miner yaani kwa mtu kugundua nilipo mnyamwezi lakini haina noma m,zazi me nimekubali sas kkazi kwako kupata wachumba kutoka dunia koite mana hapa ndio mwisho wa matatizo ya kula mwenye hisia za haraka mzeee
2008年5月19日 12:22na wewe umo kumbe?